News

Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefuraishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika ...
Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Geita imehukumu Masanja Mihayo (30), mkazi wa Kijiji cha Ikandilo, kutumikia kifungo cha miaka 6 jela kwa kosa la kumuua mtoto wake bila kukusudia, kitendo kilicho kinyu ...
Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma limewakamata watu saba kwa tuhuma za kupatikana na nyara za serikali zenye thamani ya shilingi milioni 314,684,419. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Kamanda wa Po ...
Mwenyekiti wa Vijana Taifa wa NCCR-Mageuzi na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe, Simion Saimon Malisa (kulia), amechukua fomu ya uteuzi kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni, Magreth ...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekanusha taarifa potofu zinazosambazwa mitandaoni zikidai kuwa kuanzia kesho hadi Agosti 22, 2025, nchi itakumbwa na baridi kali isiyowahi kutokea. Taarifa hiz ...
This year marks the 80th anniversary of the victory of the Chinese People’s War of Resistance Against Japanese Aggression and the World Anti-Fascist War, in addition to the 80th anniversary of the ...
Chinese President Xi Jinping on Wednesday urged Xizang Autonomous Region to build a modern socialist new Xizang that is united, prosperous, civilized, harmonious and beautiful. Xi, also general ...
Aliyekuwa Mbunge wa Bahi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kati ya mwaka 2010–2020, Omary Badwel, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA). Badwel amepokelewa leo na Mgombea Urais ...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesisitiza kuwa biashara zinazozingatia haki za binadamu ndizo zenye mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa. Msimamo huo umetolewa mjini Morogor ...
SERIKALI kupitia Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, imeingilia kati mgogoro wa ardhi unaoendelea kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Ruvu Marwa, wilayani Same. Imetoa agizo la siku 1 ...
THE Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) in Mbeya Region and Police Force have launched a joint manhunt for a resident ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Doto Biteko amekagua mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 ...