News
Tayari Othman amerejesha fomu ya kuomba uteuzi wa kuiwakilisha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 katika ...
Wakati Wakristo leo wakiadhimisha mateso na kifo cha Bwana Yesu Kristo, wamekumbushwa kuwa na tumaini, upendo, umoja pamoja ...
Amewasisitiza kutumia fursa hiyo, ili kuepuka Serikali isigeuzwe kuwa gulio la kuuza na kununua haki za wanyonge.
Ripoti inaeleza, kwa ujumla, bajeti zilizotengwa kwa ajili ya uratibu wa shughuli za maafa ni ndogo, jambo linaloonyesha ...
Kilichotokea jana kwenye Uwanja wa Old Trafford kiliwakumbusha United yale maajabu waliyofanya mwaka 1999 kwenye Uwanja wa ...
Kichere amefafanua kuwa katika ukaguzi uliofanywa na ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/23, ulibaini taasisi 184 zilikuwa na ...
Wengi hudhani kuwa kisukari ni ugonjwa wa watu wazima tu, lakini ukweli ni kwamba watoto pia wako katika hatari ya kupata ...
Dar es Salaam, jiji kuu la biashara na lango kuu la kuingilia Tanzania, limekuwa likikua kwa kasi na kuvutia watu kutoka kona ...
Kuna mbinu mbalimbali za kufanya tahajudi, lakini zinazojulikana zaidi ni tahajudi ya uzingativu au umakini (mindfulness) ...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24, imeibua masuala mazito yanayoakisi ...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inaonyesha kuwa ni Watanzania watatu kati ya 10 pekee ndio wamesajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa, huku saba wakiwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results